
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimtwika maji, Bibi Edna petro baada ya kuzindua mradiwa maji wa Mkonze katika Manispaa ya Dodoma ikiwa ni moja ya shughuli za kilele cha wiki ya maji.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua mradi wa maji wa Mkonze katika Maanispaa ya Dodoma katika kilele cha wiki ya maji leo Machi 22, 2014. Kushoto kwake ni Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe na kulia kwake ni Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe lamsingi la mradi wa maji wa tangi la maji la Chuo Kikuu cha Dodoma ikiwa ni moja ya shughuli za kilele cha wiki ya maji
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Wanachuo wa Chuo Kikuu cha Dodoma baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa tangi la maji ikiwa ni moja ya Shughuli za kilele cha wiki ya maji leo




Wajumbe wa kamati ya kudumu maji, kilimo na mifugo ya Bunge la Jamuhuri ya Muungano tukiongozwa na Mh Msola.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipita ndani ya bomba kubwa la maji katika maonyesho ya shughuli mbalimbali zinazohusiana na maji yaliyofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma kabla ya kutoa hotuba ya kufunga wiki ya maji leo (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment