Home »
Africa
» RAIS JAKAYA KIKWETE AKIONGEA NA WANANCHI KATIKA UKUMBI WA PTA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM
RAIS JAKAYA KIKWETE AKIONGEA NA WANANCHI KATIKA UKUMBI WA PTA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM
Written By JAK on Saturday, April 26, 2014 | 2:45 AM
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Taifa kupitia mkutano wa Umoja wa Vijana CCM (UVCCM) baada ya kupokea maandamano yao leo katika ukumbi wa PTA katika viwanja vya SabaSaba jijini Dar es salaam muda huu. Matangazo haya yanarushwa moja kwa moja na Kituo cha TBC. Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Taifa kupitia mkutano wa Umoja wa Vijana CCM (UVCCM) baada ya kupokea maandamano yao leo katika ukumbi wa PTA katika viwanja vya SabaSaba jijini Dar es salaam muda huu. Matangazo haya yanarushwa moja kwa moja na Kituo cha TBC. Baadhi ya wananchi wakiwa kwenye Mkutano huo.
Post a Comment