- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete apiga kura.
- Mama Salma na Ridhiwani pia wapiga kura .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akisoma karatasi ya kupigia kura kabla ya kupia kura kumchagua Mbunge wa Jimbo la Chalinze kwenye kituo cha kupigia kura cha Zahanati Msoga.




Mmoja wa wapiga kura katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Chalinze, Sabina akitumbukiza karatasi ya kura kumchagua mbunge wa jimbo hilo, katika uchaguzi uliofanyika jana.



Mgombea wa Ubunge Jimbo la Chalinze Ndugu Mathayo Torongey akizungumza na baadhi ya mawakala alipotembelea kituo cha Ofisi Mtendaji Kata namba 1, Bwilingu.



Post a Comment