Pages

Friday, October 25, 2013

BREAKING NEWS KUTOKA CORRIDOR SPRING CHADEMA ARUSHA

http://img.youtube.com/vi/ZUkCD9tz3CU/hqdefault.jpg

Habari zilizotufikia hivi punde, zinasema kuwa Mwenyekiti wa Mkoa Ndg Samsoni Mwigamba
 na Mwenyekiti wa Chadema wa Wilaya ya Arusha Ndg Golugwa,wako 
kituo cha Polisi cha Wilaya ya Arusha wakitoa maelezo kuhusiana na 
purukushani hizo zilizotokea ndani ya 
Hoteli ya Corridor Spring ya Jijini Arusha .



No comments:

Post a Comment