Pages

Friday, October 25, 2013

CHADEMA ARUSHA - BREAKING NEWS KUTOKA CORRIDOR SPRING

http://www.ibn-tv.com/wp-content/uploads/2013/10/Freeman.jpg

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mh.Mbowe aomba karandinga la Polisi kuokoa jahazi,
baada ya Mwenyekiti wa Chadema Mkoa Ndg Samson Mwigamba kurusha ngumi ya uso na kuanza kutwangana
ndipo ilibidi Mbowe kuomba msaada Polisi.
Mkutano huo ulikuwa unafanyika usiku huu ndani ya 
 Hoteli ya Corridor Spring ya 
 Jijini Arusha .

Mwanahabari wetu ataendelea kuwaletea habari zaidi.

No comments:

Post a Comment