Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimpa pole Mjane wa
Marehemu Balozi Isaac Sepetu,Mama Miriam Sepetu,alipofika katika ukumbi wa
Baraza la Wawakilishi la zamani,Mnazi mmoja Mjini Unguja,kuuaga mwili wa
Marehemu leo Asubuhi.{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.}
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akitia saini kitabu
cha maombolezo ya Marehemu Balozi Isaac Sepetu,katika ukumbi wa Baraza la
Wawakilishi la zamani,Mnazi mmoja Mjini Unguja leo asubuhi,Marehemu alifariki
juzi Jijini Dae es Salaam,na atazikwa Kijiji kwao Mbuzini Wilaya Magharibi.
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa akiuwaga
Mwili wa Marehemu Balozi Isaac Sepetu,katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la
zamani,Mnazi mmoja Mjini Unguja leo asubuhi,Marehemu alifariki juzi Jijini Dae
es Salaam,na atazikwa Kijiji kwao Mbuzini Wilaya Magharibi.
Baadhi ya Wananchi
mbali mbali wakiwa katika sehemu
maalum nje ya ukumbi wa Baraza la
Wawakilishi la zamani,Mnazi mmoja Mjini Unguja,wakisubiri kuuaga mwili wa
Marehemu Balozi Isaac Sepetu,leo asubuhi ambapo utazikwa Kijiji kwao Mbuzini Wilaya Magharibi.{Picha
na Ramadhan Othman,Ikulu.}
Na Michuzi
Post a Comment