Home » » MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA KIVUKO KIPYA CHA MV MALAGALASI WILAYA YA UVINZA MKOA KIGOMA

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA KIVUKO KIPYA CHA MV MALAGALASI WILAYA YA UVINZA MKOA KIGOMA

Written By JAK on Saturday, October 26, 2013 | 4:20 AM



 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rasmi Kivuko kipya cha MV Malagalasi kilichopo Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma, wakati wa hafla ya uzinduzi huo iliyofanyika wilayani humo.
  
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwahutubia wananchi waliohudhuria hafla ya uzinduzi huo. 
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal, akibonyeza kitufye kuashiria uzinduzi rasmi wa kivuko kipya cha Mv Malagalasi, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika leo wilayani Uvinza Mkoa wa Kigoma. Kulia ni Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Pombe Magufuli.
  
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwa na baadhi ya viongozi ndani ya Kivuko hicho baada ya kukizindua.
  
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akizunguma na wananchi wa upande wa pili baada ya kuzindua kivuko hicho.
  

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, 
na viongozi wengine wakitelemka katika kivuko hicho baada ya kukizindua na kuvuka nacho 
hadi uapande wa pili. Picha na OMR
Share this article :

+ comments + 1 comments

October 26, 2013 at 4:37 PM

safi sana mwenezi kazi nzuri sana itaitaji moyo go ggo go go goood

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger