Home » , , » TANZANIA - RAIS KIKWETE ATEMBELEA MGODI WA CHUMA WA LIGANGA,LUDEWA MKOANI NJOMBE

TANZANIA - RAIS KIKWETE ATEMBELEA MGODI WA CHUMA WA LIGANGA,LUDEWA MKOANI NJOMBE

Written By JAK on Thursday, October 24, 2013 | 12:08 AM


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgmw2DF9etyFhabDD39AZpSv-WpldM8FYsB8CIXQYgEysPm3eUoCJgH0iWzzPzSEGuzHZY0cXDOUXprDUTuuFnL7GA4IfzVkVCHFdDTZde1vQSxAehBhks0ALen3iqe1U7A0S_aEC5ybJgt/s1600/LI1.jpg
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo toka kwa Meneja mradi wa Maganga Matatitu Resource Development limited Bw. Lawrence Manyama kuhusu mlima huo uliosheheni mashapu ya chuma alipotembelea eneo lenye utajiri wa chuma la Liganga wilaya ya Ludewa Mkoani 
Njombe leo Oktoba 22, 2013.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgXHCDBVLOsejizjo-vHsIR2NsuG0a8GsnMu1Q1RLJvbPeL2TdzUiN3ba9MKVlnO3GnDoqqL1MO_tfAsQTHmbfvPTrUDi_gb7_5_Q0aITEHLbKe0bvG7byMR9SnGeeh35SySU0aO8YwhvwQ/s1600/LI3.jpg
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na wawekezaji wa kampuni ya Sichuan Hongda ya China ambao ni wawekezaji katika eneo lenye utajiri wa chuma la Liganga wilaya ya Ludewa mkoani Njombe leo Oktoba 22, 2013. Kampuni hiyo inatarajiwa kujenga kiwanda cha kufua chuma mapema mwakani kitaajiri 
watu 32,000 kitakapokamilika.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgH1-5JBzy9WZDKKNCse1Nx3Gixsn50CPSp9Y6LcJX1KyER9YUFSIlJl17lz0vkEnCvILYaFNd4-d4-y4JxNbfrdYIcB7jaT2Z6MuUzpWIJwPl6a1whKt2ynNYKeedWVLyY9le94iOMh0J1/s1600/LI6.jpg
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akionesha kilele cha Central Liganga hill ambacho ni mojawapo ya sehemu ambazo kampuni ya Sichuan Hongda ya China itachimba mashapu ya chuma na kuyafua katika kiwanda kikubwa cha kufua chuma kitachoajiri watu 32, 000 katika eneo hilo lenye utajiri wa chuma la Liganga wilaya ya Ludewa mkoani Njombe leo Oktoba 22, 2013. 
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEipim7_7QgH3Z1ovZ8DrVnI-cF-Op19I8Xzmquaa3aozh8c0VVj6zPL0XptiO3ajxHdza4GOv8lGHoNTqonWjInp543t9kSgXGaEBjN2T6z3dytKts02UFAfO7lJfPPuwlYsDZ90RxgTVCg/s1600/lu8.jpg
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wananchi alipoowasili katika uwanja wa mikutano wa Ludewa ambako alihutubia mkutano wa hadhara.
PICHA NA IKULU

Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger