Home » » WAZIRI NCHIMBI AENDELEA NA ZIARA YAKE MKOANI SONGEA

WAZIRI NCHIMBI AENDELEA NA ZIARA YAKE MKOANI SONGEA

Written By JAK on Saturday, October 26, 2013 | 11:45 PM



ZIARA YA WAZIRI NCHIMBI MJINI SONGEA YAINGIA SIKU YA PILI, WANANCHI WAMPOKEA KWA SHANGWE
 
  Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk
Emmanuel Nchimbi (kushoto) akikagua ujenzi wa maabara ya kisasa ya Sekondari yaMdandamo iliyopo katika Kata ya Mletele, Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma. Kuliani Mkuu wa Wilaya ya Songea, Joseph Mkirikiti. Dk Nchimbi yupo mjini Songea kwaziara ya siku tano akikagua pamoja na kufungua miradi mbalimbali ya maendeleoiliyopo jimboni mwake.
 
  Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk
Emmanuel Nchimbi (watatu kushoto) akiwa na Watendaji wa Halmashauri ya Manispaaya Songea, Madiwani na viongozi wa Chama cha Mapinduzi wilayani humo wakatiwalipokuwa wanakagua ujenzi wa maabara, mabweni pamoja na nyumba za walimu waShule ya Sekondari ya Mdandamo iliyopo katika Kata ya Mletele, Manispaa yaSongea mkoani Ruvuma. Dk Nchimbi yupo mjini Songea kwa ziara ya siku tano
akikagua pamoja na kufungua miradi mbalimbali ya maendeleo iliyopo jimboni mwake.
 
Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk
Emmanuel Nchimbi (aliyevaa mawani) akiwa na Watendaji wa Halmashauri yaManispaa ya Songea, Madiwani na viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilayanihumo wakilikagua daraja lililopo katika Kata ya Mletele ambalo lipo hatua yamwisho kukamilika. Hata hivyo, Dk Nchimbi alichangia Shilingi milioni moja kwaajili ya kukamilisha ujenzi wa daraja hilo. Dk Nchimbi yupo mjini Songea kwaziara ya siku tano akikagua pamoja na kufungua miradi mbalimbali ya maendeleoiliyopo jimboni mwake.
 
  Msanii maarufu wa kuigiza sauti mbalimbali za Viongozi wa Serikali, wanasisa,watangazaji wa habari za kwenye Luninga na redio, pamoja na wasanii mbalimbalinchini, Adamu kwa jina maarufu ‘Mlugaluga’ akitoa burudani kwa wananchi wa Mtaawa Liwumbu, Kata ya Mletele, Manispaa ya Songea kabla ya Mbunge wa Jimbo laSongea Mjini ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk EmmanuelNchimbi (kulia) kuzungumza na wananchi hao kuhusiana na masuala mbalimbali yamaendeleo ya kata hiyo. Dk Nchimbi yupo mjini Songea kwa ziara ya siku tanoakikagua pamoja na kufungua miradi mbalimbali ya maendeleo iliyopo jimboni mwake.
 
 Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akizungumza na mamia ya wananchi wa Kata ya Matarawe, MjiniSongea kuhusiana na masuala mbalimbali ya maendeleo ya kata hiyo, hata hivyo Dk Nchimbi aliwahakikishia wananchi wake kuwa, kwa kushirikiana na Watendaji waHalmashauri ya Manispaa ya Songea watalitengeza Daraja la Matarawe ambalo marakwa mara linasababisha ajali mbalimbali zikiwemo za bodaboda.  Dk Nchimbi yupo mjini Songea kwa ziara ya siku tano akikagua pamoja na kufungua miradi mbalimbali ya maendeleo iliyopo jimbonimwake. Picha zote na Felix Mwagara.
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger