Home » » WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO AFANYA ZIARA MAALUMU KATIKA MKOA WA KATAVI

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO AFANYA ZIARA MAALUMU KATIKA MKOA WA KATAVI

Written By JAK on Monday, October 28, 2013 | 1:30 AM



Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (Mb) akisisitiza jambo alipofanya kikao kilichojumuisha mkuu wa mkoa wa Katavi Dkt. Rajab Rutengwe, mkuu wa wilaya ya Mpanda  Bw. Pazi Mwamlima, wataalamu kutoka Tanesco ikiwa ni pamoja na wadau mbalimbali wa sekta ya umeme.
 
Wadau mbalimbali wa sekta ya umeme wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo
 Mmoja wa wadau wa sekta ya umeme akiuliza swali katika kikao hicho.
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger