TANZANITE YAIPIGA MSUMBIJI BAO 15-1 KUSONGA MBKUELEKEA KOMBE LA DUNIA LA WANAWAKE
Timu ya Soka Taifa ya Wanawake ya Tanzanite, imeibugiza tena
timu ya wanawake ya Msumbiji j mabao 5 -1. katika mchezo wa marudiano
uliofanyika leo nchini Msumbiji.
Bambao hayo ya ushindi ya Tanzanite yalifungwa na Selda
Boniface amefunga mabao matatu, Vumilia Maarifa bao moja na Dionisia Athanas
bao moja. Timu hiyo ya Msumbiji imetolewa kwenye mashindano hayo kwa jumla ya
mabao 15-1.
Tanzanite wanasubiri mshindi wa mechi kati ya Afrika kusisin
na Botswana ambapo wakishinda wataingia
rasmi kwenye michuano hiyo ya kuwania Kombe la Dunia

Post a Comment