Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili jijini Warsaw, Poland, kuhudhuria mkutano wa Nchi wanachama wa Mkataba wa Nchi zilizosaini protokali ya Kyoto kuhusu mabadiliko ya Tabia Nchi unaoanza leo Jumanne Novemba 19, 2013.
PICHA NA IKULU.
Rais Kikwete akisalimiana na mmoja wa wajumbe wa Tanzania kwenye mkutano huo
Post a Comment