
Mandhari ya ukumbi uliofanyika sherehe ya kumpongeza Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa ya kutimiza miaka 75, iliyofanyika kwenye ukumbi wa Msimbazi Center jijini Dar es Salaam,jana usiku.

Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa, akijumuika na mkewe Mama Anna Mkapa na sehemu ya Familia yake kukata Keki, ikiwa ni ishara ya kupongezwa kwa kutimiza miaka 75.

Shamra shamra ukumbini wakati wa sherehe hiyo......

Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa,akizima mishumaa

Post a Comment