Home » » Taifa Stars na Zimbabwe zatoshana nguvu Uwanja wa Taifa

Taifa Stars na Zimbabwe zatoshana nguvu Uwanja wa Taifa

Written By JAK on Wednesday, November 20, 2013 | 8:41 AM


Mshambuliaji wa timu ya taifa, Taifa Stars, Mbwana Samata, akimtoka mchezaji wa Zimbabwe, Simba Sithole, katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka suluhu.
Mshambuliaji wa timu ya taifa, Taifa Stars, Mbwana Samata, akimtoka mchezaji wa Zimbabwe, Simba Sithole.
Mshambuliaji wa taifa Stars, Shomari Kapombe akichuana na beki wa Zimbabwe.
 Shomari Kapombe akipiga pira wa kichwa ambao haukuzaa goli baada ya kutoka nje ya lango la Zimbabwe.
 Golikipa wa Zimbabwe akijaribu kuokoa moja ya hatari langoni mwake. (Picha na Francis Dande)


Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger