Home » » Hivi ndivyo ilivyokuwa kwenye Usiku wa Kusherehekea Miaka Mitano ya Grooveback Djs

Hivi ndivyo ilivyokuwa kwenye Usiku wa Kusherehekea Miaka Mitano ya Grooveback Djs

Written By JAK on Monday, December 30, 2013 | 7:32 AM

KINYWAJI CHA WINDHOEK TANZANIA kilidhamini bonge la party la kusherekea miaka mitano ya Grooveback Djs ambayo inaundwa na ma DJ wakali na maarufu hapa nchini,ambao si wengine bali ni Dj Peter Moe,Dj PQ, Crucial, KT, Tony na JB. Party hiyo ambayo ilikuwa ni funga kazi na yakufungia Mwaka pia,ilifanyika jumamosi Desemba 28 katika bar maarufu ya East 24 Bar & Grill,Mikocheni jijini Dar es Salaam,huku Ma Dj wakali waalikwa waliokuwepo ni Dj Pinye na Dj Nijo wote kutoka nchini Kenya. Grooveback wanapiga disco la nguvu kila jumamosi katika kiota hicho cha East 24 Bar, Arcade House, chini ya udhamini wa 
Windhoek Lager – 100% PURE BEER.
Dj Peter Moe (pili kushoto) akilekezana jambo na mkali mwenzie toka nchini Kenya,Dj Pinye huku Dj PQ (kulia) akitupia macho.
Palikuwa hapatoshi ndani ya kiota cha East 24 Bar & Grill,Mikocheni jijini Dar es Salaam siku hiyo.
Ilikuwa ni magoma baada ya magoma mpaka kucheee..




Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger