1. Jaji Mkuu wa Tanzania pamoja na Majaji wengine wa
Mahakama wakishiriki kuwaapisha na kuwasajili rasmi Mawakili hao wapya.
1. Mawakili wapya wakitoa heshima ya Kimakama mbele ya Mhe. Jaji Mkuu na
Maji wengine wa Mahakama ya Tanzania waliohudhuria katika sherehe hizo.
Meza ya majaji wastaafu pamoja na viongozi wa mahakama
1. Ni kundi la baadhi ya Mawakili waliosajiliwa leo na
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman katika viwanja vya Karimjee jijini
Dar es Salaam, Balozi Mstaafu, Mhe. Juma Mwapachu (wa kwanza kulia) ni miongoni
mwa Mawakili hao wapya.
1. Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman
akisoma risala yake katika sherehe hizo ambapo amewataka Mawakili hao wapya
kuwawakilisha vyema wananchi katika kupata haki zao.
Picha na Mary Gwera wa Mahakama
Post a Comment