Home » » Mh. Lowassa ahudhuria mazishi ya kada wa CCM Monduli

Mh. Lowassa ahudhuria mazishi ya kada wa CCM Monduli

Written By JAK on Saturday, December 28, 2013 | 9:36 PM


Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu David Pelo Kivuyo aliekuwa Diwani wa zamani wa Makuyuni.Pelo ambaye pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Monduli, alifariki tarehe 22 Desemba na kuzikwa nyumbani kwake Makuyuni leo Desemba 28.Alifariki kutokana na maradhi ya shirikisho la damu.
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger