Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Dk. Harrison Mwakyembe akitia sahihi kitabu cha wageni alipotembelea banda la NMB katika maonesho ya Mbeya Expo yaliyofanyika katika viwanja vya Mkapa vilivyopo soko la Matola jijini Mbeya. Maonesho hayo yalidhaminiwa na Benki ya NMB.
Meneja wa NMB Kanda ya Nyanda za juu Kusini, Lucresia Makiriye, akimwelezea Waziri wa Uchukuzu, Mhe. Dk. Harrison Mwakyembe huduma na bidhaa zinazotolewa na benki ya NMB mara alipotembelea banda la NMB katika maonesho ya Mbeya Expo yaliyodhaminiwa na benki ya NMB.
Afisa wa benki ya NMB, Jacquiline Tumaini (tatu kushoto) akimfungulia akaunti ya NMB ChapChap mteja aliyehudhuria maonesho ya Mbeya Expokatika viwanja vya Mkapa, vilivyopo soko la Matola jijini Mbeya.
Post a Comment