Home » » JK AALIKWA UFARANSA katika mikutano miwili mikubwa ya kimataifa

JK AALIKWA UFARANSA katika mikutano miwili mikubwa ya kimataifa

Written By JAK on Thursday, December 5, 2013 | 9:30 PM


 Rais Francois Hollande wa Ufaransa akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete jijini Paris kwenye mkutano unaohimiza kukuza ushirikiano wa kiuchumi kati ya Ufaransa na Afrika. Akizungumza katika mkutano huo Rais Kikwete alisema kuwa mbali na kuwa bado bara la Afrika linahitaji  misaada ya uchumi nchi zilizoendelea lazima ziwekeze mitaji katika nchi za Afrika

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Francois Hollande wa Ufaransa,Rais Allasane Ouatarra wa Ivory Coast na Rais Mac Sall wav Senegal wakiwa katika mkutano wa ushirikiano wa kiuchumi kati ya Afrika na nchi za kiafrika. Picha na mdau Freddy Maro wa IKULU

Michuzi Blog
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger