Home » » Warsha ya asasi za kiraia na wanahabari kuhusu mazingira yafunguliwa leo mkoani Tanga

Warsha ya asasi za kiraia na wanahabari kuhusu mazingira yafunguliwa leo mkoani Tanga

Written By JAK on Thursday, December 12, 2013 | 4:24 AM


Mkuu wa wilaya ya Tanga Bi. Halima Dendego, akifungua warsha ya asasi za kiraia na wanahabari kuhusu mazingira inayoendelea mkoani Tanga kati ya tarehe11-12 Desemba 2013.Warsha hiyo imeandaliwa na WWF-Tanzania.
Meneja Uhifadhi wa mazingira wa WWF-Tanzania,Gerald Kamwenda akitoa mada katika warsha ya asasi za kiraia na wanahabari inayoendelea mkoani Tanga
Wadau wakisikilza mada katika warsha ya asasi za kiraia na wanahabari kuhusu mazingira inayoendelea mjini Tanga.
Washiriki wa warsha ya asasi za kiraia na wanahabari kuhusu mazingira wakiwa katika picha ya pamoja na mkuu wa wilaya ya Tanga Bi. Halima Dendego.
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger