Home »
Africa
» WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII MHE. KAGASHEKI AJIUZULU
WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII MHE. KAGASHEKI AJIUZULU
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamisi Kagasheki amejiuzulu wadhifa wake baada ya mjadala mkali wa Bungeni mjini Dodoma hivi sasa. Habari zaidi kwa kirefu zitakuja baadaye.
Post a Comment