Rais Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa leo amemkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete nakala ya vitabu vya hotuba zake alizozitoa kwa nyakati tofauti wakati wa uongozi wake wa miaka kumi.Pichani Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akikabidhi Rais Kikwete vitabu hivyo katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo asubuhi.VitABU hivyo vimechapishwa na kampuni ya Mkuki na Nyota chini ya Mkurugenzi wake Bwana Walter Bgoya Picha na Freddy Maro.
JK akabidhiwa vitabu vya Hotuba za Rais Mstaafu Benjamin Mkapa.
Written By JAK on Thursday, January 16, 2014 | 12:35 AM
Related Articles
- Vijana wafanya matembezi ya Uzalendo yalioratibiwa na Umoja wa Vijana wa CCM katika kuadhimisha miaka 50 ya Muungano
- RAIS JAKAYA KIKWETE AKIONGEA NA WANANCHI KATIKA UKUMBI WA PTA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM
- Mutunga meets security chiefs over terrorism cases
- CHADEMA Jimbo la Mufindi Kusini, Emannuel Ngwalanje , Ahamia CCM
- MIAKA 50 YA MUUNGANO UWANJA WA TAIFA
- TASWIRA YA MAADHIMISHO YA MIKA 50 YA MUUNGANO KATIKA UWANJA WA SHEIKH ABEDI AMANI KARUME
Labels:
Africa
Post a Comment