Waziri Mkuu Mizengo Pinda akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa Jukwaa la Ardhi Tanzania,Kauli mbiu yake ni Ardhi yetu ,Watu wetu na Urithi wetu.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizindua Jukwaaa la Ardhi Tanzania katika ukumbi wa PSPF .kutoka kushoto ni Muhashamu Askofu mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania ,Alex Malasusa na kulia na Shekhe Ally kutoka Mkoa wa Tanga .
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Askof Alex Malasusa akimkaribisha Waziri Mkuu Mizengo Pinda katika ukumbi wa PSPF kwa ajili ya Uzinduzi wa Jukwaa la Ardhi Tanzania .Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Post a Comment