Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Ephraim Mafuru (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Pamoja naye ni Meneja Masoko wa SBL, Allan Chonjo (wa pili kushoto). Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Allan Chonjo (wa pili kushoto) akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam Shamrashamra ya Uzinduzi wa promosheni ya Shinda safari kwenda nchini Brazil,kupitia bia ya Serengeti Shamrashamra ya Uzinduzi wa promosheni ya Shinda safari kwenda nchini Brazil Baadhi ya mabalozi wa Bia ya Serengeti wakionesha shoo kwa wananchi baada ya uzinduzi wa Shinda safari kwenda nchini Brazil,kupitia bia ya Serengeti Uzinduzi wa promosheni ya shinda safari kwenda nchini Brazil,kupitia bia ya Serengeti uliofanyika leo.
Post a Comment