MGOMBEA UDIWANI WA CCM MWALIMU DAVID MOLLEL AKIWASILI KWENYE UWANJA WA MKUTANO WA KAMPENI YA UDIWANI KATA YA SOMBETINI LEO KATIKA VIWANJA VYA JR
MWENYEKITI WA UVCCM WILAYA YA ARUSHA NDUGU MARTIN MUNISI AKIHUTUBIA WAKAZI NA WANACHAMA WA CCM KATIKA MTAA WA KIRIKA B KWENYE UWANJA WA MKUTANO WA KAMPENI YA UDIWANI KATA YA SOMBETINI LEO KATIKA VIWANJA VYA JR
KATIBU WA CCM MKOA WA ARUSHA NA MBUNGE WA VITI MAALUM MAMA MARY CHATANDA AKIONGEA NA WAKAZI NA WANACHAMA WA CCM KATIKA MTAA WA KIRIKA B KWENYE UWANJA WA MKUTANO WA KAMPENI YA UDIWANI KATA YA SOMBETINI LEO KATIKA VIWANJA VYA JR
MWENYEKITI WA CCM MKOA WA ARUSHA NDUGU ONESMO NANGOLE AKIHUTUBIA WAKAZI NA WANACHAMA WA CCM KATIKA MTAA WA KIRIKA B KWENYE UWANJA WA MKUTANO WA KAMPENI YA UDIWANI KATA YA SOMBETINI LEO KATIKA VIWANJA VYA JR
MGOMBEA UDIWANI CCM KATA YA SOMBETINI MWALIMU DAVID MOLLEL AKIJIELEZA NA KUOMBA KURA KWA WAKAZI NA WANACHAMA WA CCM KATIKA MTAA WA KIRIKA B KWENYE UWANJA WA MKUTANO WA KAMPENI YA UDIWANI KATA YA SOMBETINI LEO KATIKA VIWANJA VYA JR
(kushoto - kulia)KATIBU WA UVCCM WILAYA YA GEITA NDUGU ODILIA,KATIBU WA UCHUMI NA FEDHA CCM WILAYA YA ARUSHA NDG VICTOR MOLLEL NA MJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CCM WILAYA YA ARUSHA NDG MUTU MARIJANI WAKITETA JAMBO KWENYE UWANJA WA MKUTANO WA KAMPENI YA UDIWANI KATA YA SOMBETINI LEO KATIKA VIWANJA VYA JR
Post a Comment