Timu ya AJTC ikiwa katika picha ya pamoja baada ya kunyakuwa ushindi katika tamasha la fungua mwaka na redio 5 lililoandaliwa na kampuni ya Tan media jijini Arusha katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid
Muonekano wa wachezaji wakiwa uwanjani
Kulia ni meneja mbunifu wa redio 5 Vicky Mwokoyo akiwa na MC Victoria wakijadili jambo
Mtangazaji maarufu wa kituo cha redio 5 Semio Sonyo akijadili jambo na baadhi ya wachezaji
DJ akifanya yake kuwapa burudani wakazi wa Arusha
Mashabiki wakiangalia burudani kutoka kwa wasanii wa Arusha
Timu ya Highridge ikipokea zawadi ya saa kutoka kwa mtangazaji Semio Sonyo baada ya kushika nafasi ya pili
Mmiliki wa jamiiblog akishow love na kikundi cha kck spark katika tamasha la fungua mwaka na Redio 5
K-vant gin nao walikuwa wadhamini wa tamasha hilo
Jambo squard wakiwapa burudani wakazi wa Arusha
Kulia Mtangazaji maarufu wa redio 5 Linus Kilembu kushoto producer BR tukishow love
Miondoko ya archuga pia ilichezwa
Mashabiki wakiangalia burudani
Post a Comment