Mke wa Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Asha Bilal (kulia) akibonyeza kitufe
kufungua maonesho ya kazi za wanawake wakati wa Maadhimisho ya siku ya wanawake
Duniani zilizofanyika leo ukumbi wa Diamond Jubilee hall jijini Dar es salaam.
Kushoto ni mwandaaji wa maonesho haya Bi. Shamim Mwasha ambaye ni mmiliki na
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya 8020 Fashions
(http://www.8020fashionsblog.com/)
Mama Asha Bilal
akiingia kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee
wakati wa Maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani zilizofanyika leo.
Kushoto ni mwandaaji wa hafla hiyo Bi. ShamimMwasha wa 8020 Fashions na kulia
ni mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin
Mke wa Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mama Asha Bilal akiwa meza kuu pamoja na waandaaji na wake wa Viongozi
mbalimbali kwenye Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa
Diamond Jubilee leo
Mke wa Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mama Asha Bilal, akihutubia kwenya hafla
hiyo
Mke wa Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mama Asha Bilal, akikagua kazi mbalimbali za
wanawake kwenye hafla hiyo
Mama Asha Bilal
akiangalia kazi mbalimbali za wanawake kwenye hafla hiyo
Mama Asha Bilal
akiwapongeza wanawake walioonesha kazi zao
kwenye hafla hiyo
Mke wa Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mama Asha Bilal, akimkabidhi cheti mmnoja ya
wadhamini wa shughuli ya maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani yaliyoandaliwa
na kampuni ya 80-20 Fashen ya Sinza jijini Dar es salaam bibi Mwanjaa Serabe
Meneja wa mpango wa uchangiaji wa hiyari wa PSPF yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee.
Malkia wa Taarab
Khadija Omar Kopa akitumbiza kwenye Maadhimisho ya siku wa Wanawake Duniani
katika ukumbi wa Diamond Jubilee.
Mama Asha Bilal akiwa
katika picha ya pamoja na wake wa Viongozi mbalimbali kwenye Maadhimisho ya
siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Diamond Jubilee leo. Picha na OMR
Post a Comment