MWENYEKITI WA MUDA WA BUNGE MAALUM LA KATIBA, MHE.PANDU AMIR
KIFICHO AKIWA AMESIMAMA KUTOA MUONGOZO WAKATI WA KIKAO KILICHOFANYIKA JIONI YA
LEO MJINI DODOMA.
NAIBU SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,
MHE. JOB NDUGAI AKIBADILISHANA MAWAZO NA
MHE.SAMWELI SITTA.
MHE. ANNA MAKINDA AKITETA JAMBO NA MHE. DKT. ASHA-ROSE
MIGIRO.
KATIBU WA WA BUNGE LA
LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,DKT. THOMAS KASHILILAAKIZUNGUMZA NA
BAADHI YA WAJUMBE WA KAMATI YA RASMI YA KANUNI ZA BUNGE KABLA YA KIKAO KUANZA
JIONI HII.
MJUMBE WA KAMATI YA KANUNI, MHE.TUNDU LISSU AKIJIBU HOJA
ZILIZOWASILISHWA NA WAJUMBE WA BUNGE HILO LA KATIBA.
MHE. HAMAD RASHID AKICHANGIA HOJA.
MHE BETTY MACHANGU AKICHANGIA
MHE. HEZEKIAH WENJE AKICHANGIA MJADALA WA KANUNI ZA BUNGE
MAALUM LEO.PICHA NA DEUSDEDIT MOSHI, GLOBU YA JAMII - DODOMA.
Post a Comment