Mke wa Rais na Mweyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete
akiwahutubia mamia ya wanawake na wananchi waliokusanyika katika kituo cha Afya
cha Buzuruga kilichoko wilayani Ilemela, Mkoani
Mwanza mara baada ya kuzindua rasmi upimaji wa saratani ya kizazi kwa
akina mama leo.
Mamia ya akina mama na wananchi wa Jiji la Mwanza
wakishiriki katika sherehe ya uzinduzi
wa upimaji wa saratani ya mlango wa kizazi kwenye uwanja wa Nyamagana
ambapo Mke wa Rais Mama Salma Kikwete alikuwa mgeni rasmi katika shughuli hiyo
Mamia ya akina mama
na wananchi wa Jiji la Mwanza wakishiriki katika sherehe ya uzinduzi wa upimaji wa saratani ya mlango wa kizazi
kwenye uwanja wa Nyamagana ambapo Mke wa Rais Mama Salma Kikwete alikuwa mgeni
rasmi katika shughuli hiyo
Mamia ya akina mama
na wananchi wa Jiji la Mwanza wakishiriki katika sherehe ya uzinduzi wa upimaji wa saratani ya mlango wa kizazi kwenye
uwanja wa Nyamagana ambapo Mke wa Rais Mama Salma Kikwete alikuwa mgeni rasmi
katika shughuli hiyo
Ngoma ya asili ya
kabila la Wasukuma ya Bugobogobo ikichezwa kwa umahiri mkubwa hata kumfanya Mke
wa Rais, Mama Salma Kikwete aliyekuwa Mgeni rasmi katika sherehe hiyo kushuka
jukwaani na kuicheza na baadaye kumzawadia
mtoto wa kikundi hicho kutoka Mji wa Magu wakati wa sherehe za uzinduzi
wa upimaji wa saratani ya mlango wa kizazi uliofanyika katika uwanja wa Nyamagana
huko Mwanza
Ngoma ya asili ya
kabila la Wasukuma ya Bugobogobo ikichezwa kwa umahiri mkubwa hata kumfanya Mke
wa Rais, Mama Salma Kikwete aliyekuwa Mgeni rasmi katika sherehe hiyo kushuka
jukwaani na kuicheza na baadaye kumzawadia
mtoto wa kikundi hicho kutoka Mji wa Magu wakati wa sherehe za uzinduzi
wa upimaji wa saratani ya mlango wa kizazi uliofanyika katika uwanja wa
Nyamagana huko Mwanza
Mke wa Rais na
Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete
akizindua rasmi upimaji wa saratani ya
mlango wa kizazi wakati wa kilele cha siku ya wanawake duniani katika
sherehe iliyofanyika katika uwanja wa Nyamagana huko Mwanza
Mke wa Rais Mama
Salma Kikwete mara baada ya kuzindua rasmi upimaji wa saratani ya mlango wa
kizazi aliwakabidhi Waganga wakuu wa mikoa ya Mwanza, Iringa, Mbeya na Mara
vifaa vya kupima saratani hiyo. Pichani
Mama Salma Kikwete akimkabidhi Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Dkt. Valentino
Bangi mkoba wenye vifaa vya upimaji.
Mke wa Rais Mama
Salma Kikwete akisikiliza maelezo kutoka kwa Dkt. Nestory Masalu kutoka
hospitali ya Rufaa ya Bugando ambaye alikuwa akiwapima akina mama katika kituo
cha Afya cha Buzuruga kilichoko katika wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza mara
baada ya kuzindua rasmi upimaji wa saratani
ya mlango wa kizazi katika uwanja wa Nyamagana na kutembelea kituo hicho
ambapo wanawake wengi walijitokeza kwa ajili ya kupima.
Mamia ya wanawake wa
Mwanza walijitokeza kwenda kupima saratani ya mlango wa kizazi kama
wanavyoonekana katika picha iliyopigwa katika kituo cha Afya cha Buzuruga huko
Ilemela.
Mamia ya wanawake wa
Mwanza walijitokeza kwenda kupima saratani ya mlango wa kizazi kama
wanavyoonekana katika picha iliyopigwa katika kituo cha Afya cha Buzuruga huko
Ilemela.
Mwenyekiti wa Chama
Cha Madaktari Wanawake Tanzaia, MEWATA, Dkt. Serafina Mkuwa (wa kwanza kushoto)
akifuatiwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa Mwanza Ndugu Magalula Said Magalula,
Mkurugenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Profesa Charles Mapinge na Mama Salma Kikwete
wakiteta jambo wakati walipokitembelea kituo cha afya cha Buzuruga ambacho
hutoa huduma ya kupima saratani ya mlango wa kizazi kwa akina mama
Post a Comment