Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda akipokea shada la maua
kutoka kwa Mtoto Raiyah Adam mara baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa
Mwanza,tayari kwa ufunguzi wa Tamashsa la Wanawake (Women Dialogue Front 2014)
ikiwa ni sehemu ya maanzimisho ya siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika katika
hoteli ya JB Belmont.Tamasha hilo lililoandaliwa na Kampuni ya
Mikaela.aliyesimama Kulia ni Kaimu Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Mkoa wa Geita,Mh.
Said Magarula anaefuata ni Bi. Edith Mudogo Mwenyekiti wa Mikaela na mwisho ni Margareth
Kazi mshauri wa Kampuni ya Mikaela.
Katibu wa Kampuni ya Mikaela,Bi. Idda Adam akimpokea Mke wa
Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda wakatipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mkoa wa
Mwanza tayari kwa ufunguzi wa Tamasha la Wanawake lililoandaliwa na Kampuni ya
Mikaela ikiwa ni sehemu ya kusherekea Siku ya Wanawake Duniani.Picha na PMO.
Post a Comment