.jpg)
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Mizinga Melu akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa bidhaa mpya kwa wateja wao ya NBC Direct, inayowapa wateja nafasi ya kupata huduma zote za kibenki ndani ya bidhaa hiyo.. Uzinduzi huo umefanyika jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Hduma Rejareja za Kibenki, Mussa Jallow akizungumza na wateja na waalikwa wengine katika uzinduzi huo akieleza faida mbalimbali zinazopatikana katika bidhaa ya NBC Direct.
.jpg)
Baadhi ya maofisa wa NBC na wageni wengine waliohudhuria hafla ya uzinduzi jijini Dar es Salaam
.jpg)
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Mizinga Melu (kulia) akisamiliama na baadhi ya wagenzi waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa NBC Direct jijini jana.

Post a Comment