TAMASHA LA PASAKA LATIKISA UWANJA WA TAIFA, MEMBE ASEMA WANANCHI WATAAMUA SERIKALI IPI WANAITAKA
Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa kimataifa Mh. Bernald Membe aliyemuakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Tamasha la Pasaka lililofanyika jana kwenye u8wanja wa Taifa akizungumza na mashabiki mbalimbali waliojitokeza katika tamasha hilo na kuwaomba kuwa watulivu wakati huu wa mchakato wa katiba mpya akisema uamuzi mtautoa nyini ni serikali gani mnaiihitaji iwe moja, Tatu au Mbili nyinyi ndiyo mtaamua na sisi tutakipitisha kile mlichokiamua, Kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama na katikati ni Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Mh. Angela Kairuki.(PICHA NA FULLSHANGWE)
Mwanamuiki wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini Keke Letse Phoofolo akicheza na mashabiki wake wakati alipokuwa akifanya vitu vyake kwenye uwanja wa Taifa jana.
Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Zambia Ephraim Sekereti akiimba jukwaani jana.
Mwanamuiki wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini Keke Letse
Phoofolo akicheza na kwa mbwembwe wakati alipokuwa akifanya vitu
vyake kwenye uwanja wa Taifa jana.
Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa kimataifa Mh. Bernald Membe aliyemuakilisha Rais Jakaya Kikwete akiongozwa kuelekea jukwaani na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama
Mwimbaji wa ijini kutoka nchini Uingereza Dayo Bello akiimba na mkewe Ruth Tobi wakati wa tamasha la pakasa kwenye uwanja wa Taifa jana.
Mwimbaji Jesca BM naye alipagawisha mashabiki
Mchungaji mtarajiwa Masanja Mkandamizaji akifanya vitu vyake jukwaani
Umati uliojitokeza katika tamasha hilo.
Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa kimataifa Mh. Bernald Membe aliyemuakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Tamasha la Pasaka akirejea kuketi huku akizungumza na Richard Kasesela na Alex Msama katikati.
Upendo Kilahiro akiimba jukwaani na kundi la Victoria Singers.
Mashabiki mbalimbali wakimshuhudia mwanamuziki Kekeletse Phoofolo hayupo ichani wakati alipokuwa akifanya vitu vyake jukwaani.
Ikafika zamu ya Upendo Nkone |
Mwanamuiki wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini Keke Letse
Phoofolo kazi moja tu burudani .
Rose Muhando na kundi lake wakipagawisha kwenye tamasha la Pasaka jana katika uwanja wa Taifa
Post a Comment