Baadhi ya wanachama wa wazee club arusha wakiwa na picha ya pamoja na watoto yatima jijini Nairobi nchini kenya walipowatembelea siku ya pasaka
Arusha Wazee Club wakiwa Nairobi kwa michezo ya pasaka na timu ya wazee ya Green Yard Wachezaji wa Arusha Wazee Club wakipata chakula cha jioni jijini Naorobi nchini Kenya.
Timu ya Arusha Wazee Club wakiwa Nairobi kwa michezo ya pasaka na timu ya wazee ya Green Yard. Picha kwa hisani ya Kipepeo Tours .
Post a Comment