Waziri wa Ujenzi Daktari John Magufuli April 28,2011 akizindua Bodi za Ushauri za Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) na Wakala wa Ufundi na Umeme (TAMESA) Dar es salaam. Picha zote na Mwnakombo Jumaa-MAELEZO
WAZIRI WA UJENZI MHE.JOHN POMBE MAGUFURI LEO AMEZINDUA BODI ZA USHAURI WA MAWAKALA WA MAJENGO TANZANIA TBA NA MAWAKALA WA UFUNDI NA UMEME TAMESA,KATIKA HOTELI YA PROTEA JIJINI DAR ES SALAAM.WAZIRI AMESEMA UTEUZI WA VIONGOZI HAWA UMETOKANA NA SIFA NZURI ZILIZKO KWENYE MAFAILI YAO.WAZIRI AMEONGEZA NA KUSEMA KUWA TBA INA MPANGO WA KUJENGA NYUMBA ZAIDI YA ELFU KUMI,AMBAPO KWA SASA WAMESHAJENGA NYUMBA ZAIDI YA ELFU MOJA KWA AJILI YA KUWAKOPESHA WAFANYAKAZI.
AMEAGIZA BODI ZA WAKALA ZA MAJENGO KUWAHAKIKISHA WALE WOTE AMBAO HAWAJAMALIZA KULIPIA MAJEGO YAO KUWASHUGULIKIA IKIBIDI KUWAONDOA, WAZIRI AMEWATAKA TEMESA KUJIPANGA NA KUFANYA KAZI KWA UAMINIFU KWANI WANA CHANGAMOTO KUBWA KATIKA SEKTA HIYO.
HABARI NA HUMPHREY SAMWEL
Waziri wa Ujenzi Dk. John Magufuli akimkabidhi nakala ya kitendea kazi Mwenyekiti wa TEMESA Prof. Idrissa Mshoro (kulia) Aprili 28,2011 baada ya uzinduzi wa Bodi za Ushauri za wakalawa Majengo Tanzania (TBA) na Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA). Picha na Mwnakombo Jumaa-MAELEZO.

Waziri wa Ujenzi Daktari John Magufuli (kushoto) akimkabidhi kitindea kazi(nakala ya sheria ya wakala no.30. ya mwaka 1977 na Establishment Order) Mjumbe wa Bodi za Ushauri za wakala wa Majengo Tanzania (TEMESA) Angela Kileo(suti nyeusi mwanamke). Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.
Picha ya Pamoja wakati wa Uzinduzi wa Bodi za ushauri za wakala wa majengo Tanzania (TBA) na wakala wa Ufundi na Umeme (TAMESA) DSM. (mwenye miwani msatari wa mbele waliokaa ni Waziri wa Uchukuzi Daktari John Magufuli.
Post a Comment