
Mheshimiwa Zakia Hamdani Meghji ambaye uchangiaji wake uliwavutia wengi baada ya kuweka wazi kuwa anaunga mkono Serikali mbili na kuwa hayuko tayari kuona muungano unakufa wakati akichangia kifungu namba moja na namba sita.Kulia kwake ni Mhe.Hilda Ngoye.Wote wawili wamewahi kuwa wakuu wa Mkoa wa Kilimanjaro kwa Nyakati tofauti.

Mhe.Frederick Migala kutoka kundi la walemavu akichangia.

Mhe.Kingunge Ngombale Mwiruakimpongeza Mhe.Frederick Migala kutoka kundi la walemavu akichangia baada ya kuvutiwa na hoja za mchango wake kifungu namba moja na nambasita cha katibampya. Picha na Deusdedit Moshi wa Globu ya Jamii, Dodoma.
Post a Comment