Home » , » SAFARI YA KINANA YA MASAA 14 KATIKA ZIWA TANGANYIKA

SAFARI YA KINANA YA MASAA 14 KATIKA ZIWA TANGANYIKA

Written By JAK on Tuesday, April 15, 2014 | 7:32 AM

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg-CT0K6JelM9SdOiuqU1EPODL3O0wSW8-cOe6NxM051Jr8OUGdTj1WAAYexmxPkS2575aiptEyyw4VYulLp5kcEPA4Dz_RGvKJIMsZowttHWJH2fWQUfIwmKn1L0I2xVSorfQbmm88mTEC/s1600/5.jpg
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  akiondoka kijijini Sigunga baada ya  kuzungumza wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi,wengine wanaonekana kwenye picha ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi anayepiga kasia na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Balozi Ali Abeid Karume.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhW8ptzBwOhgu2PxiHDhVzJww-LPTd2VAwOT6r0Qe9VNOOuXFuETHvDSmxKuGIse3g4bseZuBYz73N0t9xP9Ivbaa6oLf1ybbdK2BmvGT3BgVMQSCaYsGv4p8qJnx1LrqNLZQ-CWJ8iJgZE/s1600/1.jpgKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipanda boti kutoka mkoa wa Kigoma kuelekea Karema mkoani Katavi kwa siku nne.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjlXrnQSRHG8IiHHXSOwTLK5U3MoBc1PT2tkTKZx6accpGAIIDz5-kBAoUwBxttegu-lsN0zg7DMGwXQfzT2hCvR1UuqxNBlmY6G52nNtu0L0zJqVRiRqgKF4VU4pXZ-ISoL6zN1FWwXEsU/s1600/4.jpgKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi wa kijiji cha Sigunga wilayani Uvinza mkoani Kigoma alipowasili kijijini hapo kuzungumza wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi,wengine wanaonekana kwenye picha ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Balozi Ali Abeid Karume.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi1xanxuUeqp0wYB9yxha3PVPA9HCGDeedHcF8-Gda80E8jX4v4JTi99P1zHzoQgQ5c8Q3Gi5EicPSc9nvJJaH1Xjb2osisB1EqhdALIwn5eVK43f88wHHLDqqZgJh-5hQZWo-P7Ix3pNLq/s1600/7.jpgKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitembea kwenye mitaa ya kijiji cha Mgombo  Kata ya Buhingu wakati aliposimama kuwasalimia wanakijiji hao,Kinana ni Katibu Mkuu wa kwanza wa CCM kufika kijiji cha Buhingu.

Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger