Mke wa Rais Mama
Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja ya wake wa Wakuu wa Nchi za Jumuia
ya Madola wanaokutana Colombo nchini Sri lanka pamoja na vijana wanaowakilisha
mataifa hayo mara baada ya ufunguzi
rasmi uliofanywa na Prince Charles kwa niaba ya Malkia Elizabeth II kwenye
ukumbi wa Nelum Pokuna Mahinda Rajapaksa, ulioko mjini Colombo, nchini Sri
lanka leo tarehe 15.11.2013.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja
ya wake wa Wakuu wa Nchi za Jumuia ya Madola wanaokutana Colombo nchini Sri
lanka mara baada ya ufunguzi rasmi uliofanywa na Prince Charles kwa niaba ya
Malkia Elizabeth II kwenye ukumbi wa Nelum Pokuna Mahinda Rajapaksa, ulioko
mjini Colombo, nchini Sri lanka leo tarehe 15.11.2013. Picha na John Lukuwi
Post a Comment