Makamishna wa Bunge pamoja na watu wengine wakiupokea mwili
wa aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi wa Shughuli za Bunge marehemu Anselm Lyatonga
Mrema mara ulipowasili nyumbani kwake Marangu Kiraracha tayari kwa mazishi
jana.
Mke wa marehemu akiuga mwili wa mume wake aliyefariki tarehe
10/11/2013 mjini Dodoma baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashilillah akiwaongoza watumishi
wa Bunge kuuga mwili wa marehemu.
Spika Mstaafu na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Mhe. Samuel Sitta akiweka udongo kaburini kama Ishara ya kumuaga marehemu
Anselm Mrema.
Familia ya marehemu Anselm Mrema mara baada ya mazishi.Bwana ametoa, Bwana ametwaa.
Jina la Bwana lihimidiwe!
(Prosper Minja-Bunge)
Post a Comment