
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Sri Lanka Mhe.
Mahinda Rajapaksa alipomtembelea kwa mazungumzo kwenye jengo la Temple Trees jijini
Colombo Novemba 14, 2013 kabla ya ufunguzi rasmi wa mkutano wa wakuu wa nchi za
jumuiya ya madola mwaka huu (CHOGM 2013).

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha wageni wakati
alipomtembelea Rais wa Sri Lanka Mhe. Mahinda Rajapaksa (mwenye nguo nyeupe)
kwa mazungumzo kwenye jengo la Temple Trees jijini Colombo Novemba 14, 2013.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais
wa Sri Lanka Mhe. Mahinda Rajapaksa wakati alipomtembelea kwenye jengo la
Temple Trees jijini Colombo Novemba 14, 2013


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Mwenyeji wake,Rais
wa Sri Lanka Mhe. Mahinda Rajapaksa pindi alipokuwa akiondoka kwenye jengo la
Temple Trees jijini Colombo Novemba 14, 2013 mara baada ya kumaliza mazungumzo
yao.PICHA NA IKULU.
Post a Comment