Wageni mbali mbali wakiwa wamefurika kwa wingi kwenye Banda
la Wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma katika Chuo Kikuu cha East China Normal
University (ECNU) kilichopo mjini Shanghai wakati wa Maonyesho ya wanafunzi
mbalimbali wa kigeni Katika Chuo hicho,ambapo hupewa mabanda ili waoneshe vitu
asilia na mambo mbalimbali yahusuyo nchi yao kwa ujumla.
Mmoja wanafunzi wa Kitanzania katika Chuo Kikuu cha East
China Normal University (ECNU) kilichopo mjini Shanghai akimuonyesha mgeni
alietembelea banda hilo picha mbali mbali.
Baadhi ya Wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma katika Chuo
Kikuu cha East China Normal University (ECNU) kilichopo mjini Shanghai wakiwa
kwenye picha ya pamoja.
Post a Comment