Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi,(kulia) katika hafla ya Chakula cha mchana alichowaandalia Watoto waliocheza halaiki katika sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kilele kilichofanyika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja tarehe 12 jan 2014.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi,(wa tatu kushoto) akiwa na katika picha ya pamoja na Watoto waliocheza halaiki baada ya kuwanao pamoja katika hafla ya Chakula cha mchana alichowaandalia Watoto hao waliofanikisha sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kilele kilichofanyika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja tarehe 12 jan 2014, wakiwepo viongozi wengine.
Baadhi ya Watoto waliocheza halaiki wakichukua chakula walichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi Dk.Ali Mohamed Sheinkatika viwanja vya Beit El Ras leo mchana kwa kufanikisha sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kilele kilichofanyika Uwanja wa Amaani Mjini Unguja tarehe 12 jan 2014
Watoto waliocheza halaiki wakipata chakula cha mchana walichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi Dk.Ali Mohamed Sheinkatika viwanja vya Beit el Ras leo,watoto zaidi ya Elfu mbili walihudhuria katika hafla hiyo iliyofanyika baada kufanikisha kwao kwa umahiri kabisa katika sherehe za kilele cha miaka 5o ya Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja tarehe 12 jan 2014
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Bi,Mwanaidi Abdalla,wakati alipowasili katika viwanja vya Beit el Rasi katika hafla ya Chakula cha mchana alichowaandalia Watoto waliocheza halaiki katika sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kilele kilichofanyika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja tarehe 12 jan 2014. Picha na Ramadhan Othman, Ikulu
Post a Comment