Home » » KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA (TTCL) NA OFISI ZA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA (TTCL) NA OFISI ZA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO

Written By JAK on Saturday, February 1, 2014 | 5:44 AM


Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Dkt Kamugisha Kazaura(aliyesimama) akiwasilisha taarifa ya maendeleo ya Mkongo wa Taifa wa TEHEMA kwa wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu. Kulia ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Mama Edwina Lupembe; kushoto ni katibu wa TTCL Bi. Lugano Rwetaka.
Kamati ya Bunge ya Miundombinu ilipotembelea ofisi za mkongo wa Taifa wa Mawasiliano.
Mhandisi Adam Mwaipungu akifafanua jambo kuhusu mtambo wa RCIP ambao unawezesha uunganishaji wa Intanet za Kimataifa kwa ofisi za Serikali, Wizara, Idara na vyuo mbalimbali vya elimu ya juu hapa nchini. 

mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Prof. Juma kapuya.
Mkuu wa Uendeshaji na matengenezo ya Mtandao wa TTCL Mhandisi Enocent Msasi akitoa maelezo kuhusu mtambo wa DWDM ambao unasafirisha mawasiliano kwa njia ya mwanga kutoka eneo moja kwenda jingine.
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger