Home » » Waziri Mwandosya atembelea makumbusho ya Genocide nchini Rwanda

Waziri Mwandosya atembelea makumbusho ya Genocide nchini Rwanda

Written By JAK on Thursday, February 13, 2014 | 12:37 AM

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais asie na Wizara Maalum,Mh. Mark Mwandosya (wa pili kushoto) akiambatana na Mkewe Mama Lucy Mwandosya (pili kulia) wakiwa kwenye picha ya pamoja na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Rwanda, Mh. Francis Mwaipaja (kushoto) na Mkewe Mama Mwaipaja,wakati Waziri Mwandosya alipotembelea makumbusho ya Genocide ya Rwanda (yaliyotokea Mwaka 1994).
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais asie na Wizara Maalum,Mh. Mark Mwandosya (wa pili kushoto) akiambatana na Mkewe Mama Lucy Mwandosya wakiweka shada la Maua kwenye moja ya kaburi pamoja la watu waliofariki wakati wa Mauaji ya Kimbari yaliyotokea Mwaka 1994,nchini Rwanda.
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger