Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi
ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akimsikiliza kwa makini Bibi Tanazina
Mrisho Mfaume Mkazi wa Kijiji cha Msinune,Kiwangwa Bagamoyo,wakati
alipopita kumsalimia bibi huyo leo Machi 21,2013.
Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akimnadi Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete kwa wananchi wa Kijiji cha Kiwangwa,Kata ya Kiwangwa waliofika kwa wingi kwenye Mkutano wa Kampeni cha CCM,leo Machi 21,2014.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Kiwangwa,Kata ya Kiwangwa waliofika kwa wingi kwenye Mkutano wa Kampeni cha CCM,leo Machi 21,2014.

Wakazi wa Kijiji cha Masugulu, Kata ya Kiwangwa wakisoma kwa umakini kipeperushi cha Wasifu wa Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete,leo Machi 21,2014.

Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akinadi sera zake kwa wananchi wa Kata ya Kiwangwa,ndani ya Jimbo la Chalinze leo Machi 21,2014.Picha Zote na Othman Michuzi.
















































































Post a Comment