Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa maelezo kuhusu zao la migomba kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd ambaye alitembelea shamba lake lililopo Zuzu mjini Dodoma. Wa pili kulia ni Mbunge wa Simanjiro, Christopher ole Sendeka na kulia ni Majasiliamali wa Dar es salaam, Alphonce Buhatwa.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wanachuo wa Chuo cha Nyuki cha Tabora waliotembelea shamba lake lililopo Zuzu, Dodoma kujifunza ufugaji bora wa nyuki Machi 22, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd kukagua zao la zabibu katika shamba lake lililopo Zuzu , Dodoma.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment