Home » » CHADEMA YAZIDI KUTIMULIWA VUMBI UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA CHALINZE

CHADEMA YAZIDI KUTIMULIWA VUMBI UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA CHALINZE

Written By JAK on Wednesday, April 2, 2014 | 1:28 AM

Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akizungumza na vijana wajasiriamali wa UVCCM,Mara baada ya kufungua Shina la vijana la mshikamano Visakazi,lililopo kwenye kata ya Ubena Zomozi leo April 1,2014.

Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi CCM,Nape Nnauye akizungumza jambo na mmoja wa wafugaji wa Kimasai wa Tawi la Kivuga kata ya Ubena Zomozi wakati wa Mkutano wa Kampeni za CCM za Ubunge jimbo la Chalinze,leo April 1,2014.

Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wakazi wa kijiji cha Tokamisasa,Kata ya Ubena Zomozi wakati wa Mkutano wa Kampeni za CCM zinazoendelea kufanyika katika Kata mbali mbali ndani ya Jimbo la Chalinze leo April 1,2014.

Share this article :

Post a Comment

Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger