Home » » AZAM FC YAITUNGUA SIMBA BAO 2-1 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR - TANZANIA

AZAM FC YAITUNGUA SIMBA BAO 2-1 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR - TANZANIA

Written By JAK on Tuesday, October 29, 2013 | 2:08 AM



 Beki wa Azam FC, David Mwantika (kulia), akichuana na mshambuliaji wa Simba, Ramadhani Singano katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Azam imeshinda 2-1.
 
 Mshambuliaji wa Simba, Betram Mwombeki akiwatoka mabeki wa Azam FC.
 
 Ramadhani Singano (kushoto), akimtoka David Mwantika.
 
Wachezaji wa timu ya Azam wakishangilia bao la pili la timu yao baada ya kuifunga Simba 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyikakwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Azam imeshinda 2-1.
Mashabiki wa Simba wakiwa wameduwaa huku wakifuatilia mchezo kati ya Simba na Azam FC.
 
Kipa wa Azam FC, Mwadin Ali akidaka mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Sino Augustino.
 
Mshambuliaji wa Simba, Edward Christopher (kulia), akiwania mpira na wachezaji wa Azam FC, Kipre Tchetche na David Mwantika. (Picha na Francis Dande)
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger