Naibu waziri wa Nishati na Madini Steven Masele akikata
utepe kuzindua mabanda ya maonyesho ya madini ya kimataifa ya vito na usonara
leo katika hoteli ya Mount meru jijini Arusha.
Naibu Waziri wa nishati na Madini Steven Masele akiwa katika
moja ya banda la Maonyesho la Raia wa Kongo akikagua madini yanayoonyeshwa katika
banda hilo.
Masele akikagua banda la kampuni ya GIA ya Afrika Kusini
ambayo imekuwa ikihusika na kutoa elimu kuhusiana na madini katika nchi za Afrika.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Steven Masele akielekea
kutembelea mabanda ya maonyesho katika viwanja vya hoteli ya Mount meru, kulia kwake
ni Mwenyekiti wa maandalizi ya maonyesho hayo, Peter Pereira .
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Steven Masele akitoa
hutuba yake ya ufunguzi wa maonyesho ya kimataifa ya madini na usonara
yanayofanyika jijini Arusha katika hoteli ya Mount Meru Ocktoba 28, 2013.
Baadhi ya washiriki wa maonyesho ya madini ya kimataifa wakimsikiliza
Naibu waziri wa Nishati na Madini Steven Masele (hayupo pichani), katika
viwanja vya hoteli ya Mountmeru Ocktoba 28, 2013.
Post a Comment