Home » » MAJAJI KUTOA UAMUZI WA MAPITIO YA HUKUMU YA BABU SEYA - TANZANIA

MAJAJI KUTOA UAMUZI WA MAPITIO YA HUKUMU YA BABU SEYA - TANZANIA

Written By JAK on Thursday, October 31, 2013 | 10:03 AM



 Nguza Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson  Nguza 'Papii' wakiwa na nyuso za furaha wakati wakitoka katika Mahakama ya Rufaa baada ya majaji wa Mahakama ya Rufaa Tanzania kusikiliza maombi yao ya kuitaka mahakama hiyo kupitia hukumu iliyoitoa mwaka 2010.
 
 Johnson  Nguza 'Papii' akibusu mkono wake baada ya kuibusu ardhi mara baada ya kutoka mahakamani.
 
 Papii akinyoosha mkono juu kama ishara ya kumshukuru mungu.
 
 Waandishi wa habari wakiwa chini wakati wa harakani za kuchukua matukio mahakamani hapo.
 
 Nguza Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson  Nguza wakati wakitoka mahakamani.
 
 Nguza Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson  Nguza au Papii wakiwa  katika chumba cha Mahakama ya Rufaa Tanzania kabla ya kuanza kwa  kusikilizwa kwa rufaa yao ya kuitaka mahakama
 hiyo kupitia upya hukumu  iliyotolewa Februari 10-2010 na mahakama hiyo.  
 Watu waliohudhuria mahakama hapo wakifuatilia kesi hiyo.
 
Nguza Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson  Nguza wakiteta jambo na wakili wao, Mabere Marando.Na Michuzi Blog

Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger