Home » » MWILI WA MAREHEMU BALOZI ISAAC ABRAHAM SEPETU WAAGWA

MWILI WA MAREHEMU BALOZI ISAAC ABRAHAM SEPETU WAAGWA

Written By JAK on Thursday, October 31, 2013 | 9:40 AM



VIONGOZI, WASANII NA WANANCHI WAJITOKEZA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU BALOZI ISAAC ABRAHAM SEPETU(BABA MZAZI WA WEMA SEPETU) NYUMBANI KWAKE SINZA

 
Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu enzi za uhai wake
 
Mh. Jaji Warioba  akisaini kitabu cha Maombolezo leo mchana nyumbani kwa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu jijini Dar es Salaam
 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernard Membe akisaini kitabu cha maombolezo leo October 29, 2013 nyumbani kwa marehemu Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu
 
 Mama Gertrude Mongella akisaini kitabu cha maombolezo kwenye msiba wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu nyumbani kwake Sinza Mori leo October 29, 2013
 
Mh. Jaji Warioba na  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Mh. Bernard Membe wakibadilishana mawazo kwenye msiba wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu leo October 29,2013
 
Baadhi ya viongozi waliofika msibani kwa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu.Kutoka Michuzi Blog


Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger